Rais wa Ukraine Petro Poroschenko
amesema kuwa majeshi ya Ukraine yanakaribia kumaliza mipango yake ya
kuondoka mji wa Debaltseve kuliko na mapigano.Bado milio ya risasi na mizinga inasikika licha ya kutiwa saini kwa muafaka wa kukomesha vita na kuondoa silaha nzito nzito toka mji huo kutiwa saini juma lililopita.
Rais Poroshenko anasema kuwa kuondoka kwa majeshi yake kumepangwa barabara na amekanusha taarifa kuwa majeshi ya Ukraine, kamwe hayakuwa yamezingirwa.
Sasa anaelekea mashariki mwa taifa ili kuwalaki wanajeshi wake.



0 comments:
Post a Comment