Usiku wa Feb7, Madee, Chege na Temba wamezindua video mpya za single zao ziitwazo ‘Vuvula’ & ‘Kaunyaka‘, video hizo mbili zimeongozwa na Adam Juma.
Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ufukwe wa Bahari ya hindi, Escape 1 Dar es Salaam.
Wasanii waliotoa burudani ya nguvu kwenye uzinduzi huo akiwemo Barnaba, Vanessa Mdee, Julio, Shaa, Dogo Janja, Raymond kutoka Tip Top Connection na wengineo.
0 comments:
Post a Comment