Ofisi ya Rais nchini Ufaransa
imesema Viongozi wa Urusi,Ukraine, Ufaransa na Ujerumani wamekemea
ukiukwaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano Mashariki mwa Ukraine .Waangalizi wa kimataifa wanaofuatilia utekelezaji wa makubaliano hayo nchini Ukraine wamesema pande zote mbili zinajutia kushindwa kutekeleza makubaliano mjini Debaltseve.
Imeripotiwa kuwa maeneo mengine mapigano yamekoma



0 comments:
Post a Comment