
Shirika la Afya duniani, WHO
limeanzisha Kampeni ya kutoa uelewa kuhusu maradhi 17 yanayoathiri
ukanda wa tropiki ambayo yanaathiri Watu bilioni moja na nusu duniani.
WHO
imezitaka Serikali duniani kuwekeza katika mapambano dhidi ya Maradhi
ya kitropiki yanayoelezwa kupuuzwa, kama vile Malale na Matende ambao
husabisha ulemavu na vifo katika nchini zinazoendelea.
Mwandishi
wa Ripoti hiyo, Dokta Dirk Engles ameiambia BBC kuwa magonjwa mengi
yangeweza kudhibitiwa kwa matibabu lakini ni wazi kuwa magonjwa mengine
yanayoonekana yamechukua nafasi kubwa katika kushughulikiwa kwa haraka
kama vile Ebola

.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment