Kurudi uwanjani kwa kiungo wa kati
wa Arsenal Jack Wilshere' kutacheleweshwa kwa siku chache baada ya
mchezaji huyo kufanyiwa upasuaji mdogo.Upande wa Everton Romelu Lukaku anatarajiwa kuwa sawa licha ya kutoka katikati ya mechi na jeraha la mguu wiki iliopita.
John Stones na Aaron Lennon wanarudi baada ya kuhudumia marufuku lakini Steve Pienaar bado yuko nje na jeraha la goti.



0 comments:
Post a Comment