Phillipe Coutinho alifunga bao la
ushindi na kuiwezesha Liverpool kuharibu matumaini ya Mancity kulitetea
taji lake katika uwanja wa Anfield..Lakini Mchezaji wa Brazil Coutinho alipachika bao la kuvutia alipofunga kutoka nje ya eneo la hatari.
Matokeo hayo yanaiweka Mancity pointi 5 nyuma ya Chelsea huku wakiwa wamecheza mechi moja zaidi nayo Liverpool ikipanda hadi nafasi ya tano katika jedwali.



0 comments:
Post a Comment