Kundi la kigaidi la Boko Haram limeongeza mashambuzi katika nchi za
Cameroon na Niger siku mbili baada ya nchi hizo majirani wa Nigeria
kutangaza kuandaa vikosi kwa lengo la kupambana na Boko haram.
Watu hao walipelekwa katika kijiji cha Koza kilichopo mpakani wa Nigeria na Cameroon.
Kwa upande wa eneo la kusini mwa Niger, Boko haram walishambulia gereza na kulipua bomu lililobebwa kwenye gari katika mji wa Diffa.
Katika picha za video zilizowekwa kwenye mtandao kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekeu amesema majeshi hayo kutoka mataifa ya kanda hayateweza kutimiza malengo yao.
Jumamosi Nigeria, Cameroon, Chad, Niger and Benin walikubalina kuanzisha jeshi la pamoja lenye wanajeshi mia
0 comments:
Post a Comment