Camera ya FikraPevu ikiwa maeneo ya Barabara ya Nyerere. Hii ni moja kati ya Barabara zinazoheshimika kutokana na jina iliyopewa na hasa kwa vile inatumiwa na viongozi wa kitaifa na wageni mbalimbali kutoka nchi mbalimbali. Hii bara bara inatoka katikati ya jiji la Dar es Salaam na kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
Lakini kuna sehemu miundombinu yake ni mibovu kama inavyoonekana hapa ni eneo la Tazara ambapo mfereji wa kupitishia maji taka ukiwa umejaa
0 comments:
Post a Comment