TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

Ivory Coast mabingwa wa Afrika

http://api.ning.com/files/uFCQvH3jdgCnuMaFHeJm8Fni0p18Dl1UkwxFsb*p5DOOIqGc*nCQaH28OKESpQL9DArR46W1-xQfED5fT16FBnFn92-lwl1O/hero.jpg

Straika wa Manchester City, Wilfried Bony akiwa amembeba shujaa wa Ivory Coast Boubacar Barry (katikati), aliyefunga penalti ya mwisho.… 

http://api.ning.com/files/uFCQvH3jdgAwH*Y9BI0S1xC*h-2ypCUA8QH8N9-k6iEak1VA9dMJ7gN8N4NT80sRm23B5b-k40d0MgQz-eJ1TN-GVmPplwRV/ivorycoast.jpg

Ivory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8

katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.
Mlinda Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na kufunga penalti ya mwisho
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)