Ukimuona hali yake inahuzunisha, lakini
manesi, madaktari na ndugu walijikuta wakipata faraja ya aina yake
kutokana na mtoto huyo kucheza wimbo huku akionekana kuwa na furaha
mbali ya hali alionayo.
Alijiachia akicheza wimbo wa ‘Little Apple‘ akiwa juu ya kitanda Hospitalini.
Baadhi ya watu waliyoiona video hiyo
walishindwa kujizuia kutoa machozi pale walipoitazama, lakini wapo
waliofurahia kumuona mtoto huyo akiwa mchangamfu na mwenye tabasamu muda
wote.
0 comments:
Post a Comment