TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

Waziri mkuu wa Ugiriki aahidi mabadiliko

Waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras amesema kuwa ataongeza kima cha chini cha mishahara na kuwarejesha kazini maelfu ya wafanyakazi wa umma ambao waliachishwa kazi katika mazingira yanayodaiwa kuwa ni yakuumiza.

Akielezea mipango yake mble ya bunge la nchi hiyo amesema kuwa mesema kuwa
Waziri Tsipras amelaumu utawala wa serikali iliyopita kwa madai kuwa uwazi wake haukujali maisha ya wafanyakazi kwa kisingizio cha madeni na mtikisiko wa uchumi.
Ameahidi kutimiza ahadi zake alizozitoa wakati wa uchaguzi ikiwemo kupunguza maslahi ya wanasiasa kama ilivykuwa awali.
Tsipras amesisitiza kuwa vita vikubwa ni dhidi ya vitendo vya rushwa,lakini pia ameahidi kuimarisha kituo cha utangazaji cha umma ERT ambacho kilifungwa kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni ukosefu wa fedha.









Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)