TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

HSBC,imewasaidia wateja kukwepa kodi

Maelezeo kutoka kwa maelfu ya akaunti katika benki hiyo ya HSBC nchini Uswizi, yanaonyesha kuwa wafanyikazi waliwashauri wateja wake wakiwemo wanasiasa, Wahalifu na watu mashuhuri jinsi ya kuhifadhi fedha bila kulipa kodi katika akaunti hizo kutoka kwa zaidi ya mataifa 200.


Nyaraka zilizofichuliwa kwa BBC na vyombo vingine vya habari zinaonyesha kuwa moja ya benki kubwa zaidi duniani HSBC, imekuwa ikiwasaidia wateja kukwepa kulipa kodi.
Akaunti kama hizo zimekuwepo tangu mwaka 2007 na benki hiyo inasema kuwa wengi walitumia usiri wake kuwa na akaunti zisizotambuliwa.
Kiongozi wa chama cha Labour Ed Miliband, anasema kuwa serikali ya Uingereza ina maswali chungu nzima ya kujibu
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)