TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

Pale ambapo Pastor aliamua kuyakatili maisha ya mke wake mjamzito ili ampate muumini wake

Mchungaji wa kanisa la Baptist Toronto, Canada aliamua kumuua mke wake ambaye ni mjamzito wa miezi mitano ili aweze kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja kati ya waumini wake.
pastorPhilip ambaye tayari alianza kuwa na uhusiano na muumini huyo huku mke wake Anne Karissa akijua lakini baadaye aliamua kumsamehe.
Pamaoja na upendo wa mke wake kwake mchungaji huyo aliona hiyo haitosha na kufanya uamuzi mgumu kwa kumzamisha mke wake kwenye maji hadi kusababisha kifo chake pamoja na mwanaye aliyekuwepo tumboni.
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)