TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

Kesi ya Al Jazeera Misri yarejelewa



Wakuu wa mahakama nchini Misri wamesema kuwa marudio ya kesi ya waandishi habari wawili wa Al Jazeera yataanza Alhamisi
Oeter Greste, Mohammed Fahmy na Baher Mohamed walipokuwa kifungoni pamoja
.
Mohamed Fahmy na Baher Mohamed walikutikana na hatia ya kusaidia chama cha Muslim Brotherhood kilichopigwa marufuku.
Kesi hiyo ilizusha malalamiko kimataifa.
Wafungwa wameshatumika siku 407 gerezani.
Mwenzao, Peter Greste, raia wa Australia ambaye alifungwa nao, alifukuzwa ndani ya nchi juma lilopita.
Jamaa wa Bwana Fahmy wameeleza wasiwasi kuwa bado hakutolewa nchini, ingawa amesamehe uraia wake wa Misri ili apate kufunguliwa.
Yeye ana paspoti ya Canada.
Mke wa Baher Mohamed - raia wa Misri - alisema wanaume hao watatu walifikishwa mahakamani pamoja na ingefaa wangeachiliwa huru pamoja.
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)