
Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa
mataifa Kofi Annan amewasili nchini Cuba kuhamasisha mazungumzo ya amani
kati ya serikali ya Colombia na nchi zenye makundi ya waasi.
Mazungumzo
hayo yanayofanyika mjini Havana ni mwendelezo wa hjjitihada za kusaka
Amani katika nchi kwa zaidi ya miaka miwili hadi sasa.
Hata hivyo katika mazungumzo hayo ya Amani lengo ni kumaliza migogoro iliyodumu kwa zaidi ya miongo mitano.
Annan
amesema atakutana na pande zote mbili za viongozi na kuwa na mazungumzo
nao ya pamoja na kwamba atatumia uzoefu wake wa utatuzi wa migogoro
katika nchi alizowahi kuwa msuluhishi.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment