Wawakilishi wa Tanzania katika
michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Yanga Leo hii watajitupa
uwanjani kuwakabili BDF XI huko Gaborone, Botswana.Jumamosi Timu nyingine mbili za Tanzania, Azam FC na KMKM, zitakuwa Viwanjani kwenye Mechi za raundi ya pili ya Klabu bingwa barani Afrika CAF
Wakati Polisi ya Zanzibar itacheza Mechi yake ya Pili ya raundi ya kwanza ya Mashindano ya CAF ya Kombe la Shirikisho hapo Jumapili.
Yanga na Azam FC, ambao wako Ugenini wanahitaji Sare ya aina yoyote au ushindi kuweza kusonga mbele kwa hatua inayofuata.
0 comments:
Post a Comment