
Ofisi ya Rais nchini Ufaransa
imesema Viongozi wa Urusi,Ukraine, Ufaransa na Ujerumani wamekemea
ukiukwaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano Mashariki mwa Ukraine .
Baada
ya Mazungumzo ya simu kati ya Viongozi wanne wa Nchi hizo,walitoa wito
wa utekelezwaji wa makubaliano yaliyowekwa mjini Minsk juma lililopita,
ikiwemo kuacha kabisa mapigano.
Waangalizi wa kimataifa
wanaofuatilia utekelezaji wa makubaliano hayo nchini Ukraine wamesema
pande zote mbili zinajutia kushindwa kutekeleza makubaliano mjini
Debaltseve.
Imeripotiwa kuwa maeneo mengine mapigano yamekoma
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment