TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

WHO:Magonjwa ya Kitropiki hatari zaidi

http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/2/2e/WHO_HQ_main_building,_Geneva,_from_North.JPGShirika la Afya duniani, WHO limeanzisha Kampeni ya kutoa uelewa kuhusu maradhi 17 yanayoathiri ukanda wa tropiki ambayo yanaathiri Watu bilioni moja na nusu duniani.
WHO imezitaka Serikali duniani kuwekeza katika mapambano dhidi ya Maradhi ya kitropiki yanayoelezwa kupuuzwa, kama vile Malale na Matende ambao husabisha ulemavu na vifo katika nchini zinazoendelea.
Mwandishi wa Ripoti hiyo, Dokta Dirk Engles ameiambia BBC kuwa magonjwa mengi yangeweza kudhibitiwa kwa matibabu lakini ni wazi kuwa magonjwa mengine yanayoonekana yamechukua nafasi kubwa katika kushughulikiwa kwa haraka kama vile Ebolahttp://www.kiswahili.rfi.fr/sites/kiswahili.filesrfi/imagecache/rfi_43_large/sites/images.rfi.fr/files/aef_image/matende-1.jpg.
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)