Viongozi wa ligi ya La Liga Real
Madrid siku ya jumamosi waliona cha mtema kuni waliposakamwa mabao 4
bila jibu na wapinzani wao Atletico Madrid katika mechi ya Derby
iliochezwa katika uwanja wa Vincente Calderon.
Real iliokuwa ikiuguza majeraha mengi ililazimika kutaja mabeki m'badala katika mechi yao ya ugenini.Hatahivyo mabeki hao hawakuweza kuhimili kishindo cha mashambulizi ya mabingwa wa ligi Atletico Madrid.
Baadaye wachezaji pamoja na mashabiki wa Atletico walisherehekea sana ushindi huo.
0 comments:
Post a Comment