
Mshambuliaji wa Mancity Wilfried
Bonny alifunga bao lake la kwanza na kuiweka kifua mbele Mancity baada
Gareth McAuley kupewa kadi nyekundu.
Fernandinho na David Silva
waliongeza mabao mengine mawili na kuisaidia City kupunguza idadi ya
pointi kati yake na viongozi wa ligi Chelsea kuwa tatu hadi pale kikosi
hicho cha Jose Mourinho kitakapocheza mechi zake mbili.
Hatahivyo
mechi hiyo iliangazia sana kutolewa kwa mchezaji McAuley baada ya
sekunde 89 pekee,ikiwa ni uamuzi wa mapema sana kufanywa katika ligi ya
Uingereza msimu huu,ilipobainika kwamba refa Neil Swarbrick alitoa kadi
nyekundi kwa mtu ambaye hakustahili.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment