WATEJA wa huduma ya Mpesa wataweza kutuma na kupokea pesa wakiwa
nchini Tanzania. Kampuni ya safaricom imetia saini mkataba na kampuni ya
Vodacom kufanikisha huduma hiyo.Afisa mkuu mtendaji wa safaricom Bob Collymore amesema uzinduzi huo unalenga kupiga jeki ushirikiano kati ya Kenya na Tanzania kwenye masuala ya uchumi.
Kwa upande wake Afisa mkuu mtendaji wa Vocdacom Rene Meza ameeleza matumani kuwa ushirikano huo utaimarisha uhusiano wa Kenya na Tanzania.



0 comments:
Post a Comment