TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

Aliyewalawiti Watoto Kenya kuhukumiwa

http://www.jukwaahuru.com/wp-content/uploads/2013/03/MP900400849-1200x545_c.jpgRaia wa Uingereza aliyewadhalilisha kingono watoto wa kiume katika mji mdogo wa Gilgil nchini Kenya anatarajiwa kuhukumiwa leo nchini Uingereza.
Hii ni baada ya Mahakama ya Birmingham kumkuta na hatia ya kuwadhalilisha watoto wa kiume kingono na pia kupatikana na picha za utupu za watoto.
Simon Harris mwenye umri wa miaka 55 ambaye alikuwa akiendesha Mradi wa misaada kwa Jamii anaaminika kufanya maovu hayo kwa karibu miaka ishirini.
Gladys Njoroge amekutana na baadhi ya waathirika ambao waliomba majina yao yahifadhiwe.
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)