Nahodha wa kikosi cha Ghana Asamoah
Gyan huenda atashiriki katika mechi ya fainali dhidi ya Ivory Coast
baada ya kupata nafuu ya jeraha la kiuno.
Mshambuliaji huyo
alipata jeraha hilo baada ya kugongana na kipa wa Guinea Naby Yattara
katika robo fainali na aliorodheshwa miongoni mwa wachezaji wa ziada
wakati kikosi cha Ghana kilipocheza katika mechi ya nusu fainali.Miamba hiyo ya ''The elephants'' itategemea mchezo mzuri kutoka kwa nahodha wao Yaya Toure kuilaza Ghana.
0 comments:
Post a Comment