Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa Marekani inatafakari kupeleka
silaha nchini Ukraine kusaidia kukabiliana na Waasi wanaoiunga mkono
Urusi.
“Ubabe wa Urusi umeimarisha umoja wa Marekani na Ujerumani na washirika wetu duniani kote na ningependa kumshukuru Angela kwa uongozi wake imara na ushirika wetu tunapokutana na changamoto hii.Tunaendelea kusisitiza kupatikana kwa suluhu kwa njia ya diplomasia”amesema Obama
Naye Kansela wa Ujerumani Angela Markel haoni kama njia za kijeshi zinaweza kuumaliza mzozo huu.
0 comments:
Post a Comment