Msichana mmoja nchini Colombia ametoa kubwa na kali ya mwaka baada ya
kukizamisha kiazi mbatata sehemu zake za siri na kiazi hicho kuanza
kuchipua humo ndani, na binti huyo alifanya uamuzi huo kwa minajili ya
njia ya uzazi wa mpango .
Unajiuliza? Kiazi mbatata ndio! Binti
huyo inakadiriwa kuwa ana umri wa miaka 22, na anaeleza wazi kuwa mama
yake mzazi ndiye aliyemuonesha njia hiyo ya asili kwa amaelezo kwamba
kiazi mbatata kinapoingizwa sehemu za siri ni njia nzuri ya uzazi wa
mpango.
Ndio ni mamake mzazi.
Tatizo la binti huyo
lilijitokeza wakati binti huyoalipokwenda clinic huku akilalamikia
maumivu yasiyokuwa ya kawaida,na nesi alipomfanyia uchunguzi aligundua
mizizi inayochipua ikichungulia kutoka kwenye sehemu zake za siri.
Baada
ya kuzuru kliniki,na kupita wiki mbili kiazi kilianza kuota na kuchipua
mizizi na kukua. Lakini kiazi hicho kiliondolewa na binti huyo hakupata
athari zozote katika njia yake ya uzazi.
Njia zisizo sahihi na
hatari za uzazi wa mpango bado zinaendelea kutumika ulimwenguni kote
hasa na mabinti wadogo wanaojihusisha na ngono za utotoni.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment