
Klabu ya soka ya Fiorentiana ya Italia imewachapa mabingwa wa ligi ya England Chelsea kwa bao 1-0.
Bao
pekee la ushindi la Fiorentina ama maarufu kama Viola liliwekwa kimiani
na beki Gonzalo RodrÃguez raia wa Argentina katika Dakika ya 34 baada
ya Kipa wa Chelsea Begovic kutema Shuti la Alonso Mendoza.
Mchezo
huu ni wa mwisho wa kirafiki kwa klabu ya Chelsea inayonolewa na Kocha
Jose Mournho kabla ya kuanza kwa kipute cha ligi kuu ya Engalnd hapo
Augusti 8.
Ambapo wataanza utetezi wa ubingwa wao kwa kucheza Mechi yao ya kwanza dhidi ya timu ya Swansea City.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment