Hivi karibuni meneja wa Liverpool, Brendan Rogders alidai kuwa klabu hiyo imepanga kumpa Sterling mkataba mpya wenye dili nono.
Sterling amesema anazungumza na wawakilishi wake na wamemuhakikishia kuwa yeye atilie mkazo soka na kuwaachia wao mambo mengine kwani watayamaliza hivi karibuni.
Nyota huyo amesema kwasasa anatilia mkazo kuisaidia Liverpool kushinda mechi zake na ni matumaini yake mazungumzo ya mkataba wake mpya yatamalizika hara
0 comments:
Post a Comment