
WATEJA wa huduma ya Mpesa wataweza kutuma na kupokea pesa wakiwa
nchini Tanzania. Kampuni ya safaricom imetia saini mkataba na kampuni ya
Vodacom kufanikisha huduma hiyo.
Afisa mkuu mtendaji wa safaricom Bob Collymore amesema uzinduzi huo
unalenga kupiga jeki ushirikiano kati ya Kenya na Tanzania kwenye
masuala ya uchumi.
Kwa upande wake Afisa mkuu mtendaji wa Vocdacom Rene Meza ameeleza
matumani kuwa ushirikano huo utaimarisha uhusiano wa Kenya na Tanzania.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment