
Bondia wa Marekani Floyd Mayweather ameshinda pigano lililosubiri kwa wingi katika miongo kadhaa.

Bondia huyo ambaye hajashindwa alimshinda mpinzani wake raia wa Ufilipino Manny Pacquiao kwa wingi wa pointi.

Mashabiki wengi waliojaa katika ukumbi wa MGM Grand Garden Arena mjini Las Vegas walimzoma mara kwa mara Mayweather.

Kote duniani wateja millioni 3 walilipa kuliona pigano hilo ambalo ndio
pigano lililovutia kitita kikubwa cha fedha katika historia ya ndondi.

Tiketi nyingi za pigano hilo ziliuzwa katika bei ya makumi ya maelfu ya dola
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment