Polisi wa Israeli waliokuwa
wakitumia farasi, walikabiliana vikali na waandamanaji, wakati wa
makabiliano katikati mwa mji wa Tel Aviv.
Walitumia mabomu ya
kutoa machozi na risasi za mipira, ili kuwatawanya waandamanaji wenye
asili ya Waisraeli- waitheopia, wanaopinga unyanyasaji wa polisi
wanaowabagua.
Zaidi ya watu hamsini wamejeruhiwa na polisi.
Waziri
mkuu, Benjamin Netanyahu, ameomba kuwepo kwa hali ya utulivu, huku
akisema kuwa madai yote ya ubaguzi wa polisi yatachunguzwa.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment