Tuzo kuu nchini Uingereza za muziki,
the Brits, zimetolewa London. Ed Sheeran alichaguliwa kama msanii bora
mwanamume wa kipekee Uingereza. Taylor Swift, alitajwa kama msanii
mwanamke wa kimataifa wa kipekee. Katika sherehe hizo.
Madonna aanguka katika sherehe hizo
Mwanamziki Madonna akiwa ameanguka jukwaani katika tuzo za Brits
Hata hivyo muimbaji maarufu,
Madonna alikumbwa na mkosi wa aina yake ambao ulimharibia siku baada ya
kujikwaa katika ngazi na kuanguka mbele ya kadamnasi.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment