TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

Scholes asema mchezo wa Man U haufai

http://cdn.thebusbyway.com/wp-content/uploads/2013/04/Paul-Scholes-legend.jpg Aliyekuwa kiungo wa kati wa kilabu ya Manchester United Paul Scholes amesema kuwa mtindo wa timu hiyo ni m'bovu na unaenda kinyume na utamaduni wa kilabu hiyo wa kushambulia.

http://talksport.com/sites/default/files/styles/large/public/field/image/201405/louis-van-gaal_2.jpg
 Mkufunzi Luois Van Gaal ameutetea mtindo huo baada ya kocha wa West Ham Sam Allardyce kuiita timu hiyo ''Long Ball United'' akiashiria mtindo wa pasi ndefu wa timu hiyo.
Scholes aliandika katika gazeti la independent nchini Uingereza :''kwa sasa ninashindwa kufurahia mechi za Man United''.
''Mara nyengine mtindo unotumiwa haufai''.
''Ukitaka kushinda wapinzani wako ni lazima ufanye mashambulizi na ili kufanikisha hilo lazima ujue kwamba pia kuna hatari yake''.
''Lakini ni wachezaji wachache katika timu hiyo ambao wako tayari kuwa jasiri."aliongezea Scholes.
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)