Katika visiwa vya Zanzibar kunafanyika tamasha la sauti za busara.
Mmoja wapo wa wasanii
ambao wanatumbuiza mwaka huu, ni Msafiri Zawose anayeimba muziki wa
kigogo kutoka Dodoma katikati mwa Tanzania Mwandishi wetu Tulanana
Bohela ameweza kukutana naye akiwa katika mazoezi kabla ya kwenda
jukwaani na kuzungumza naye.
About NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment