
Watu 10 wafukuzwa kazi kwa kosa la kutumia wanyama hai, kutoa mafunzo.
Wakuu
wa mbio za mbwa Nchini Australia, wamewafukuza kazi zaidi ya watu 10
kutoka katika sekta hiyo, kwa kosa la kutumia wanyama hai kuwapa mafunzo
mbwa wao, wanaoshiriki mbio hizo.
Picha za video zilizopigwa
kisiri, zilionyesha watoto wa nguruwe, sungura na panya buku, wanatumika
kuwapa mafunzo ya kuwinda mbwa hao.
Wanaonekana wakikimbizwa na kuliwa wangali hai.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment