TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

WHO watoa ripoti mpya kuhusu Ebola

Shirika la Afya Duniani, WHO limetoa takwimu mpya kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Takwimu hizo zinazihusu nchi za Sierra Leone, Guinea na Liberia tu ambapo taarifa zinasema kumekuwa na wagonjwa 23 218 na vifo 9365.
Mchanganuo wa takwimu hizo unaonyesha kuwa Sierra Leone imekuwa na wagonjwa 11 103, na vifo vya watu 3408, Liberia - wagonjwa 9007, vifo 3900 na Guinea - wagonjwa 3108 na vifo vya watu 2057.
Takwimu hizo ni mpaka tarehe 15 Februari kwa nchi za Sierra Leone na Guinea, na Liberia ni mpaka tarehe 12 Februari.
Pia Uingereza ilikuwa na mgonjwa mmoja bila kifo
Takwimu kwa ajili ya Senegal, Nigeria, Hispania, Marekani na Mali zimeondolewa.Nchi hizo haziko katika karantini ya ugonjwa wa Ebola.
http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/2/2e/WHO_HQ_main_building,_Geneva,_from_North.JPG
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)