
Phillipe Coutinho alifunga bao la
ushindi na kuiwezesha Liverpool kuharibu matumaini ya Mancity kulitetea
taji lake katika uwanja wa Anfield..
Bao la Jordan Henderson liliiweka mbele Liverpool kabla ya Edwin Dzeko kusawazisha.
Lakini Mchezaji wa Brazil Coutinho alipachika bao la kuvutia alipofunga kutoka nje ya eneo la hatari.
Matokeo
hayo yanaiweka Mancity pointi 5 nyuma ya Chelsea huku wakiwa wamecheza
mechi moja zaidi nayo Liverpool ikipanda hadi nafasi ya tano katika
jedwali.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment