Agosti 4, 2015 ni siku ambayo mgombea wa
nafasi ya Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli tayari kafika
kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi Tanzania kuchukua fomu za kuwania
nafasi hiyo ya Urais 2015.
Mgombea
rasmi wa Urais Mhe. John P. Magufuli akiwa na mgombea mwenza Mhe. Samia
Suluhu Hassan akitoka kuchukua fomu ya kugombea Urais katika ofisi za
Tume ya Uchaguzi (NEC).
0 comments:
Post a Comment