Mahakama nchini Senegal imeamua
kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuweza kumfungulia mashtaka rais wa zamani
wa Chad Hissene Habre kutokana na makosa ya uhalifu wa kivita, mateso
na uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Majaji kwenye mahakama iliyobuniwa
na senegal na muungano wa Afrika wamewahoiji zaidi ya mashahidi 2000
katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.Bwana Habre anashutumiwa kwa mauaji ya maelfu ya watu yaliyoendeshwa kwa misingi ya kisiasa wakati wa kipindi cha miaka minane ya uongozi wake kilichomalizika mwaka 1990.
0 comments:
Post a Comment