
Rais wa Ukraine Petro Poroschenko
amesema kuwa majeshi ya Ukraine yanakaribia kumaliza mipango yake ya
kuondoka mji wa Debaltseve kuliko na mapigano.
Picha za runinga zinaonyesha milolongo ya vifaru na magari mengine ya kijeshi pamoja na wanajeshi wakiondoka maeneo hayo.
Bado
milio ya risasi na mizinga inasikika licha ya kutiwa saini kwa muafaka
wa kukomesha vita na kuondoa silaha nzito nzito toka mji huo kutiwa
saini juma lililopita.
Rais Poroshenko anasema kuwa kuondoka kwa
majeshi yake kumepangwa barabara na amekanusha taarifa kuwa majeshi ya
Ukraine, kamwe hayakuwa yamezingirwa.
Sasa anaelekea mashariki mwa taifa ili kuwalaki wanajeshi wake.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment