“Unawaza kwanza kisha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri
zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo, leo
unakuta wasanii wa Bongo Fleva wanatoka nje wanarudi na tuzo lakini sisi
tumekaa tu,” alisema Lulu

ELIZABERTH Michael ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikirii mambo makubwa kuhusu wanachokifanya, bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na anahisi wale wa Bongo Fleva wanafikiria zaidi yao.

“Unawaza kwanza kisha unatenda, wasanii wa filamu
hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa
kimaendeleo, leo unakuta wasanii wa Bongo Fleva wanatoka nje wanarudi na
tuzo lakini sisi tumekaa tu,” alisema Lulu.
Msanii huyo alisemaa mwaka huu atapigana
kuhakikisha anatoka kimataifa na kufanya kazi kubwa ambayo inaweza
kumpatia tuzo kubwa na kufungua njia kwa wasanii wa filamu waliobweteka
na kuridhika na soko la ndani ambalo halieleweki.
0 comments:
Post a Comment