Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura .
Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti.Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa.
Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa muhula wa tatu.
0 comments:
Post a Comment