TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

Nigeria:Rais akana kuchelewesha uchaguzi

http://www.jaguda.com/wp-content/uploads/2013/05/Goodluck_jonathan3.jpg
 Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amekana kwamba alishauriwa kuhusu kuahirishwa kwa uchaguzi wa urais nchini humo siku ya jumamosi.
Maafisa wa uchaguzi walichukua hatua hiyo kufuatia ushauri wa wasiwasi wa maafisa wa usalama kuhusu mashambulizi ya wapiganaji wa Boko Haram kazkazini mashariki alisema.
Kucheleweshwa kwa uchaguzi kwa kipindi cha wiki moja sio kitu kikubwa alisema katika rininga ya taifa hilo.
Upinzani unadai kwamba bwana Johnathan alilazimisha uchaguzi huo kucheleweshwa kwa kuwa alikuwa anaogopa kushindwa.
Uchaguzi huo umeahirishwa hadi 28 mwezi machi.
Wachanganuzi wanasema kuwa uchaguzi huo ndio ulio na ushindani mkali tangu uongozi wa kijeshi ulioisha mwaka 1999.
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)