
Serikali ya Mali imekubali kusitisha uhasama na Waasi wa Tuareg kaskazini mwa Nchi hiyo.
Makundi
yaliyotia saini makubaliano ya kusitisha mapigano nchini
Algeria.Makundi yaliyotia saini makubaliano nchini Algeria ni pamoja na
Tuareg,MNLA na Waasi wa Kiarabu Azawad au MAA.
Makubaliano hayo ni
sehemu ya mazungumzo yanayoendelea ya kurejesha hali ya utulivu
kaskazini mwa Mali, miaka miwili baada ya Jeshi la Ufaransa kuwafurusha
Waasi wa kiislamu.
Lakini kumekuwa na wasiwasi kuwa bado itakuwa
vigumu kupata suluhu hasa kwa mambo kama ya kukabidhi Madaraka kaskazini
mwa Mali ambapo Waasi wanaita Azawad.
About
NELSON PASCHAL KAMUGISHA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment