TENGENEZA BLOG BOMBA SASA..

Hisia Zaibuka Kuhusu Ushoga

http://www.kiswahili.rfi.fr/sites/kiswahili.filesrfi/imagecache/rfi_43_large/sites/images.rfi.fr/files/aef_image/wakenyahaooo.jpgHISIA  tofauti zinaendelea kuibuka nchini, kufuatia uamuzi wa Mhakama kuu wiki jana kwamba wapenzi wa jinsia moja wana haki ya kusajili Mioungano ya kutetea maslahi yao.
Majaji wa Mahakama kuu walisema uamuzi huo umetolewa kwa kuzingatia katiba, na wala suala hilo haliwezi kuangaziwa kwa misingi ya dani na maadili.
Awali Khadijajah Abubakar alisema na Wakili Bob Mkangi ambaye pia ni mmoja wa wataalam walioandika katiba na alianza kwa kumuuliza iwapo majaji wanaweza kutoa hukumu pasi na kuzingatia katiba, hasa katika kushughulikia suala ambalo idadi kubwa ya Wakenya inapinga kwa misingi ya dini na maadili.
 
Share on Google Plus

About NELSON PASCHAL KAMUGISHA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

CREATED AND DESIGNED BY NELLYPAKA(WWW.NELLYPAKA.BLOGSPOT.COM)